loading...

Mca Tricky- Maisha ni kama Baiskeli. Ft Nyachio Mp3 Télécharger

Share
Add
 • Published on Jul 18, 2018

 • A part two of the previous clip (Mzazi henry desagu),,African parents Vs their children who are not for education .
 • Mca Tricky- Maisha ni kama Baiskeli. Ft Nyachio tags

Comments

 • Henry DeSagu
  Henry DeSagu 6 months ago

  😂😂😂😂kuna mtu anafaa viboko hapo

 • Margaret Mshai
  Margaret Mshai 6 months ago

  wapi likes za nyachio

 • Life Probe
  Life Probe 6 months ago (edited)

  Hahaha. MCA unafaa uwache shule, uende ufanye kazi kwa blueband kama hiyo uniform yako.😂😂😂

 • Henry Muhia
  Henry Muhia 6 months ago

  Tungekuwa madaktari sisi wote nani angegonjeka😂😂

 • Enews worldwide
  Enews worldwide 6 months ago

  Tanzania kama kawaida nakufatilia naitwa BANGALO yani tiriki sana

 • Moses Mureithi
  Moses Mureithi 6 months ago

  Kichwa ya toothbrush, magoti iko class eight..Number 304, Tricky Usijali , Bora Uhai.Hii imekill..

 • GitzHQ
  GitzHQ 6 months ago

  Tricky, umebakisha socks za white na viatu ukae kama player wa Brazil 😂

 • kelvyn charlie
  kelvyn charlie 6 months ago

  huyo jamaa vile huongea bila kueka hata comma... 😂😂😂... tricky sana

 • Derrick Muchiri
  Derrick Muchiri 6 months ago

  Ako class three magoti iko class eight😹😹😹🔥🔥

 • Charlie Vlogs
  Charlie Vlogs 6 months ago

  I love you

 • Eric Onchiri
  Eric Onchiri 6 months ago

  Nyachio uko fitty... Tricky sana

 • Abdinasir Shalle
  Abdinasir Shalle 6 months ago

  Watu wote wakiwa madaktari nani atakuwa mgonjwa 😂

 • Abdul Jumaa
  Abdul Jumaa 6 months ago

  #MCA

 • captain chosen
  captain chosen 6 months ago

  Nyachio wapi sawati yako😂😂😂😂

 • Ann Jawa
  Ann Jawa 6 months ago

  Hahaha

 • Abdul Jumaa
  Abdul Jumaa 6 months ago

  Hahahahahaha......dady bwnaa kwnn haukuwa dactar

 • Swaash Gang
  Swaash Gang 6 months ago

  hahah noma sana...

 • mercy gavala Janahi
  mercy gavala Janahi 6 months ago

  😂😂😂😂love you tricky 👏👏👏👊👊👌

 • Lyn Lyn
  Lyn Lyn 6 months ago

  Hahahahaha nimekwama hapo kwa daktari 😃😃😃😃😃😃😃👌👌👌👌

 • Mary Paul
  Mary Paul 6 months ago

  Nyachio kwan madkari hawagonjekagi,,this has killed me,,,,,for sure you have made my day,,,,,,endeleeni ivo ivo